Ubuntu-tz Samahani Nina shida.

Gerald Feldman gerald at feldman.co.tz
Tue Feb 9 15:44:56 GMT 2010


Hi George

mimi natumia usb dongle yeah vodacom, hope uliposema modem ulikuwa
unamaanisha hio USB dongle.

setup instructions below
1 System - Preference - network connections
2 mobile broadband - add
3 chagua huawei technology - forward
4 chagua britain uk -forward
5 chagua vodaphone kwenye provider - forward
6 changua contract kwenye plan na acha APN default - forward,
7 apply, then badilisha namba *99***1# - apply

ikiwa bado inagoma, fuatilia nakala hii , lakini acha hizo settings hapo juu
http://ubuntuforums.org/showthread.php?t=1305931&highlight=vodafone&page=5

soma section alioandika huyu jamaa Johan-Steyn au #44

anyway hio inaweza kuwa sio njia sahihi lakini inafanya kazi kwang kwanjia
hio...


regrads
Gerald

>>
>> Samahani nina tatizo nina laptop ya HP Compaq 6710b nimeinstall Ubuntu
>> naitumia sema nataka niwe naitumia kwenye Internet kupitia Modem yangu
>> ya
>> voda  je kuna kitu chochote naweza kufanya?samahani kwa usumbufu
>>
>> _________________________________________________________________
>> Hotmail: Trusted email with powerful SPAM protection.
>> https://signup.live.com/signup.aspx?id=60969--
>> Ubuntu-tz mailing list
>> Ubuntu-tz at lists.ubuntu.com
>> Modify settings or unsubscribe at:
>> https://lists.ubuntu.com/mailman/listinfo/ubuntu-tz
>>
>
>
>
> --
> Ubuntu-tz mailing list
> Ubuntu-tz at lists.ubuntu.com
> Modify settings or unsubscribe at:
> https://lists.ubuntu.com/mailman/listinfo/ubuntu-tz
>

More information about the Ubuntu-tz mailing list